"Hope"
— otpjevano od strane Ben Pol
"Hope" je pjesma izvedena na tanzanijski objavljena 22 maja 2023 na zvaničnom kanalu izdavačke kuće - "Ben Pol". Otkrijte ekskluzivne informacije o "Hope". Pronađite tekst pjesme Hope, prijevode i činjenice o pjesmama. Zarada i neto vrijednost akumuliraju se sponzorstvima i drugim izvorima prema informacijama koje se nalaze na internetu. Koliko puta se pjesma "Hope" pojavila na sastavljenim muzičkim listama? "Hope" je dobro poznati muzički video koji se plasirao na popularne top liste, kao što su Top 100 Tanzanija pjesama, Top 40 tanzanijski pjesama i još mnogo toga.
|
Download New Songs
Listen & stream |
|

"Hope" Činjenice
"Hope" je dostigao 9.1K ukupan broj pregleda i 105 lajkova na YouTubeu.
Pjesma je poslana na 22/05/2023 i provela je 0 sedmicu na top listama.
Originalni naziv muzičkog spota je "DJAM, DAMIAN SOUL, REGINA (TARAJAZZ), FRIDA AMANI AND BEN POL - HOPE (VIDEO)".
"Hope" je objavljeno na Youtube-u u 22/05/2023 14:30:12.
"Hope" Tekst, kompozitori, izdavačka kuća
SIKU 365 ZA KUPINGA UKATILI
Msanii maarufu nchini Tanzania, Ben Pol, ametoa wimbo mpya ambao uitwao “Hope” unaolenga kupinga unyanyasaji wa kijinsia na kuhimiza vita dhidi ya unyanyasaji
;Kwenye wimbo huu ameshirikiana na wasanii wenzake kama Djam, Damian Soul, Regina Juma na Frida Amani, na wakipata ushirikiano mkubwa kutoka kwa Shirika la “Save the Children”
Ben Pol amesisitiza kwamba unyanyasaji wa kijinsia ni tatizo kubwa sana na linahitaji juhudi za pamoja za kila siku kutoka kwa kila mtu ili
;Amewakumbusha watu kuwa vita dhidi ya unyanyasaji wa kijinsia haipaswi kuwa jambo la kufanyika mara moja kwa mwaka, bali ni jambo la kuendelea kwa kipindi chote cha mwaka ili kuwalinda watu wote na kuhakikisha wanakua katika mazingira salama.
Ben Pol amesisitiza pia umuhimu wa kila mtu kutumia namna yake ili kuhamasisha uelewa dhidi ya unyanyasaji wa
;Kupitia wimbo wake mpya Ben Pol amejitolea kutumia sauti yake na kipaji chake cha muziki kuelimisha na kuhamasisha jamii kuhusu madhara ya unyanyasaji wa kijinsia na umuhimu wa kupinga na kukomesha vitendo hivyo.
"Kama msanii, nimeamua kutumia kipaji changu cha muziki kueneza ujumbe wa kupinga unyanyasaji wa
;Nimeandika wimbo huu na kuuimba kwa kushirikiana na wenzangu kama wito wa kuchukua hatua dhidi ya
;Nawaomba wadau wote wa habari, mashabiki wangu na jamii kwa ujumla kushiriki katika vita dhidi ya unyanyasaji wa kijinsia na kutumia namna zote halali kueneza uelewa kuhusu suala hili," alisema Ben Pol.
Wimbo wa huu umekuja kama sehemu ya juhudi za Ben Pol za kusaidia katika harakati za kupinga unyanyasaji wa kijinsia na kuhakikisha kuwa watoto wetu wanakua katika salama, kupitia Taasisi yake aliyoianzisha hivi karibuni, ijulikanayo kama Ben Pol
;
Video ya wimbo huu imetayarishwa na ZK FILMS na REDSHOT